Australian Childhood Foundation logo
  • Skip to main navigation
  • Skip to content
  • Skip to secondary navigation
  • Home
  • Contact

  • UzaziJe unafikiria kuhusu kuwa mzazi?
  • UzoefuKujua uzoefu wa watoto
  • MaendeleoKujua maendeleo ya kukua kwa watoto
  • KuitikaKuitikia matakwa ya watoto
  • Kutafuta msaadaSehemu muhimu za msaada
‹ Previous Next ›

Pata msaada

Waangalizi wetu na mabalozi wana nia nzuri kuhusu haki za watoto, na kukomesha unyanyasaji wa watoto.

Find Help

Kujiunga na jarida la habari


Welcome!

Karibu kwenye Tovuti ya Kukuza Watoto Vizuri. Ni rasilimali kwa wazazi wote kwa taarifa ambazo zinaweza kukusaidia kulea watoto kwa furaha na kujiamini.

Kuwa mzazi ni kazi ya muhimu sana ambayo unaweza kufanya. Inaweza kudumu kwa wote wa maisha. Hauhitaji kujua kila kitu wakati wote. Kwa ukweli, watoto na wazazi hujifunza kutoka kwa kila mmoja. Tunavyoweza kuwaelewa watoto zaidi, ndivyo tunaweza kuwasaidia katika kukua na maendeleo yao.



Language

  • Amharic
    አማርኛ
  • Khmer
    option
  • Arabic
    العربية
  • Macedonian
    Македонски
  • Chinese
    中文
  • Somali
    Soomaali
  • Croatian
    Hrvatski
  • Spanish
    Español
  • Dari
    دری
  • Swahili
    Kiswahili
  • Dinka
    Thuɔŋjäŋ
  • Tigrinya
    option
  • English
    default
  • Turkish
    Türkçe
  • Farsi
    فارسی
  • Vietnamese
    Tiếng Việt

Parenting

Angalia na macho ya mtoto

Angalia na macho ya mtoto

'Watoto wadogo waweza kupatia maana mengi'

Tukifaulu watoto wetu zaidi, tunaweza kuwasaidia na kuwapatia maoni bora. Jinsi mmoja tunaweza kufanya hivi ni kufikiria juu ya makumbuko ya utoto wetu na kuwaza dunia vile mtoto anaitambua.

Children

Chango la mtoto

Chango la mtoto

Ukiwa mzazi pengine unatoa wakati wako mwingi ukijaribu kuwa mzazi mzuri, ukiendelea kufanya kile unachoweza kwa mtoto wako ukiwiana mahitaji na matakio ya maisha.

Babies

Elewa mwanako anavyozungumuza

Elewa mwanako anavyozungumuza

Kumfikisha mtoto mchanga nyumbani yaweza kuleta furaha na hofu kwa mtoto na kwa wazazi pia.

  • Mzazi

    • Angalia na macho ya mtoto
    • Kukuwa mzazi
    • Chango la mtoto
    • Kuhakikisha usalama ya watoto
    • Kila mtoto ni tofauti
    • Kujifahamu wewe kama mzazi
    • Changamoto katika uzazi
    • Kukabiliana na ungomvi katika uzazi
    • Ulezi ndani ya jamaa la kambo
    • Ulezi wa watoto wazazi wote wanapotumika
    • Huduma ya mababu
  • Maarifa

    • Kila mtoto ni muhimu
    • Je siku hizi nimekuambia nakupenda
    • Maneno na matendo yana weza kuumiza
    • Uwoga na wasi wasi kwa watoto
    • Familia madhubuti na zenye furaha
  • Ukuaji

    • Mtoto akiwa na miaka michache
    • Mchezo ya mtoto ni shughuli ya mzazis
    • Umuhimu wa uzazi katika kukuza akili ya mtoto
    • Kuelewa hisia za mtoto kadri anavyokuwa
    • Kuboresha tabia za mtoto
    • Kuendeleza hali ya kujitegemea
    • Elewa mwanako anavyozungumuza
  • Kuitikia

    • Kuumba tabia za watoto
    • Kwa nini saa zingine watoto hawana adhabu?
    • Ndugu na dada
    • Kubali tofauti
    • Kusaidia watoto kukabili na hali ya kusisitizwa
    • Kumfahamu mtoto
  • Kupata Msaada

    • Kupata Msaada

The Australian Childhood Foundation is a not-for-profit organisation that works tirelessly to support children and families devastated by abuse, family violence and neglect.

Australian Childhood Foundation © 2013 All Rights Reserved. ABN 28 057 044 514