Chango la mtoto

Ukiwa mzazi pengine unatoa wakati wako mwingi ukijaribu kuwa mzazi mzuri, ukiendelea kufanya kile unachoweza kwa mtoto wako ukiwiana mahitaji na matakio ya maisha.

Zaidi, pengine utasikia kama wewe ni meneja. Unasimamia nyumba, unasimamia wakati na saa, unasimamia kazi na unasimamia adhabu ya watoto.

Kwa hiyo, leo, mara nyingi tunasikia maneno juu ya gharama ya kupata watoto. Gharama inalingana na gharama ya pesa, maingiliano au gharama kwa shughuli ya kazi yetu. Tunasikiza maoni ya wazima juu ya "kujitolea" uki pata watoto. Saa zingine ni rahisi kusahau kile ambacho ni muhimu. Kati ya mashughuliko ya maisha, toa wakati wa kuwaza vile mtoto yako anatajirisha maisha yako ukiacha kufikiria juu ya kile kingine unachoweza kumfanyia mtoto yako. Watoto hutajirisha maisha yetu kwa njia nyingi.

Watoto hupatia wazazi:

  • Upendo bila kikomo na kukuhusudu kwa kuwa wewe.
  • Imani kwamba wewe tu ndiye mwenye nguvu, ni mwelevu na mjasiri kuliko wote duniani.
  • Fursa ya kuwa shujaa.
  • Fursa ya kuwa mtoto tena ukishiriki kwa maanga na maajabu ya dunia yao ambae bado inatokezea.
  • Fursa ya kupata maarifa juu ya nguvu ya mitima yako na vipimo ya uhodari na maarifa yako ambayo hungejua unazo.
  • Fursa ya kutoa maoni yako juu ya maadili, vikao na mawazo yako juu ya dunia.
  • Fursa ya kupata maarifa tena kutoka furaha na starehe ambae hupatikana kutoka michezo ya watoto.
  • Fursa ya kushirikia kwa furaha na macheko ya watoto.
  • Fursa ya kuitembelea tena utoto wetu.
  • Fursa ya kuacha kukuwa mzima saa zote.

Zawadi mojawapo ya  muhimu  wazazi wanayoweza kuwapatia watoto wao ni kuwa na wataki nao.

Toa wakati kila siku kucheka, kulia, kucheza, kuota, kuona maajabu na kufumbua ulimwengu na mtoto yako.

Kusikiliza
Chango la mtoto
Update Required To play the media you will need to either update your browser to a recent version, enable javascript or update your Flash plugin.