Kwa nini saa zingine watoto hawana adabu?

Mara nyingi ni ngumu kwa wazazi kuelewa kwa nini watoto wao wanaendelea kufanya vile usivyopenda. Matendo ya watoto yanaweza kukuambia vile wanasikia.

Ukielewa ni kwa nini saa zingine mtoto yako ana kaa bila adabu, utapata njia kuwasaidia kukuwa na adabu bora.

Kunaweza kuwa na sababu nyingi mtoto akiwa na adhabu mbaya:

  • Kuvuta nadhari yako
  • Kuwa na kasoro ya maarifa kukabili hali yake kwa jinsi nyingine.
  • Ni kilio cha kupata usaidizi au kusikia kuvunjwa.
  • Mavurugano.
  • Mipango au matarajio yasioekevu.
  • Kusahau mipango au mifiko.

Kupanga mifikio au kikomo

Watoto huhitaji mifikio. Wanahitaji mipango ambaye ni salaama na ndaniye waweza kupata machaguo, kukuwa na daraka na kupata maarifa ya mafanikio. Ni muhimu mifiko ile unawapangia wanailewa vizuri na pia haibadiliki! Mabadilisho inafanya watoto kulega juu ya kile waweza au hawatakiwi kufanya. Weka mipango kwa kila mtu kufuata na wapatie sababu ya mipango hii. Hata wewe ujue sababu ya kupanga mifiko yako na hakikisha sababu hizi ni elekevu.

Tena na tena kumbusha watoto mipango na mifiko.

Mazao ya kuvunja mipango kinatakikana:

  • kufanyika bila kuchelewesha
  • kukuwa kiasi au utapata mazao itapotea maana
  • kulingana na kile mtoto amefanya peke yake
  • saa zozote kukuwa salaama na kuheshimu mtoto

Kuwa shupavu lakini pia adilifu.

Unaweza kusaidia watoto wako na:

  • Kuwasikiza na kuhakikisha wanaweza kuwasiliana nawe
  • Kubali vile wanasikia
  • Kuwa bila mabadiliko saa zote
  • Hakikisha matarjio yako ni ekevu
  • Kuwapatia nadhari na wakati wako
  • Kuwashajiisha kusululisha matatizo yao
  • Kuwaadhamia wakiwa na adhabu nzuri.

Kumbuka:

  • Watoto wote ni tofauti na pengine watahitaji uzazi tofauti
  • Hakuna njia au jinsi mmoja ambae itafanya kazi saa zozote! Kuwa mwazaji!
  • Uzazi unatakikana kubadilika na kukuwa ukitegemea umri, akili na mahitaji ya mtoto.
Kusikiliza
Kwa nini saa zingine watoto hawana adhabu?
Update Required To play the media you will need to either update your browser to a recent version, enable javascript or update your Flash plugin.