Maneno na matendo yana weza kuumiza

Vile tunaongea na watoto na vile tunawatendea, unawaathiri vile wanajisikia.

Mara kwa mara, vitendo vyetu husema zaidi na maneno. Unaambia mtoto yako nini?

Kile tunachoambia watoto wetu hufanya kazi ya kioo ambacho kinadutia kwa watoto dhana yetu juu ya vile wako na vile watachokuwa wakiwa wazima.

Maneno ya kuumiza yanaweza kukaa nasi kwa milele. Saa zingine, ata mzazi hufanya au husema maneno kwa watoto ambaye sio sawa. Kwa ujumla, watoto wako na nguvu ya kustahamili maneno ya kuumiza ambaye wameambiwa kwa nadra. Lakini, tukiendelea kuwatolea ujumbe ya uchungu kutokea na maneno na vitendo vyetu, wataanza kuziamini.

Sikiliza watoto

Ukisikiza watoto unawaambia wako muhimu.
Tafuta wakati wa kusikiliza maoni wa watoto.
Saa zingine watoto hawaongei kwa sababu hawapatiwi fursa. Jaribu kuhakikisha kuna wakati na nafasi ya kila mtu kwa jamii kuongea na pia kusikilizwa.
Kusikia haimanishi kujua vile inasemekana tu, pia ni kuangalia na kuelewa mioyo nyuma ya maneno.
Sikiliza pia maneno ambaye hayasemekani. Kwa wengi, tabia huongea zaidi ya maneno. Je, mtoto ana jaribu kukuambia nini?
Sikiliza na saburi. Patia mtoto wako wakati wa kukuambia kisa au maneno yake. Usianze kuongea kabla mtoto amemaliza kuongea.
Kuwa maarufu ukisikiliza. Shiriki na hamasa ya mtoto yako.
Saidia watoto wako kutamka mafikira na hisia zao kwa kuwasaidia kutafuta maneno au jinsi zingine kuwasiliana na wewe.

Watoto wanasikia

Maneno ya kuambaa:

Kupuuza watoto.
Kuita mtoto na maneno ambaye yasio sawa au kumtukana. Kwa mfano, "Mjinga" au "Wewe ni mvulana mbaya".
Kumatibu mtoto kwa maneno yasiostahili. Kwa mfano, "Lazima ni wewe uliofanya hivi - dada yako hawezi fanya kitu kama hicho" au "Wewe ni sababu ya mapigano kati ya baba na mama".
Kuondoa mapenzi yako kutoka mtoto. Kwa mfano, "Na tumaini wewe hukuzaliwa".
Kufananisha mtoto moja na mwingine.
Kupiga domo na watu juu ya watoto - na watoto waweza kusikiliza.

Kusikiliza
Maneno na matendo yana weza kuumiza
Update Required To play the media you will need to either update your browser to a recent version, enable javascript or update your Flash plugin.