Mchezo ya mtoto ni shughuli ya mzazi

'Ni kwa nini wazima wanasahau utoto yao?

Hata wazima walikua wadogo.'

Ila hitaji muhimu zaidi ya watoto ni mchezo. Katikati ya mchezo ni furaha. Watoto wanajifunza mengi wakicheza

Mchezo hutoboa vipengele vingi vya hatua mzima.

  • Kukimbia, kupiga mateke na kutupa mpira husaidia watoto kukuwa taraju na kuratibisha.
  • Kuimba na michezo ya vina husaidia lugha kuendelea.
  • Michezo ya matambo na michezo ya kusululisha husaidia elimu ya mtoto.
  • Michezo ambayo yanahusika na 'kila mtoto atapata nafasi' na michezo ambaye yana lazimisha kushirikiana husaidia watoto kupata maarifa muhimu ya mahusiano na kusaidia tabia ya mtoto kuamuliwa.

Mchezo ni jinsi muhimu watoto waweza kuonyesha na kujua vile wanasikia. Ukiangalia watoto wakicheza na hata ukiingia michezo yao, unaweza kupata maarifa zaidi kulingana na vile mtoto yako anasikia na anafikiria.

Shiriki ya wazazi kwa michezo wa watoto ni muhimu sana

Michezo ikichezewa na furaha husaidia kujenga mahusiano muhimu kati ya wewe na watoto wako. Ukicheza na watoto wako, utapata nafasi ya kuwasaidia wakijaribu vitendo vipya. Kusifiwa na kupata uradhi wa mzazi ni muhimu sana kwa watoto.

Mchezo ya muhimu kwa watoto wadogo ni kucheza na wazazi - hakikisha unatoa wakati wa kucheza na mtoto yako kila siku.

Kucheza na watoto

Michezo inatakiwa kukua sawa na umri ya mtoto. Michezo ikiwa rahisi sana, mtoto yako atasikia kuhuzunika. Michezo ikiwa ngumu sana, mtoto yako atachoka.

Wacha mtoto yako kulinda mchezo. Patia mtoto yako ulinzi.

Hakikisha mchezo ni bila hatari.

Uliza watoto wako vile wanakutaka ufanye kwa mchezo yao.

Toa wakati wa kutosha kwa mchezo.

Usishindane na watoto wadogo. Mashindano yanaweza kufanya watoto kukatishwa tamaa na mchezo.

Stahimili kama mtoto yako anataka tu cheza mchezo yule yule tena na tena. Usanifu mpya huhitaji mazoezi mengi. Onekana kama umevutiwa.

Thamini na chunukia bidii yao, usijali matokeo.

Tafuta namna ya kushughulisha mchezo saa zozote. Kwa mfano jiunga na mtoto yako na kupiga mashairi au kuimba wimbo juu ya kazi ya kila siku kama kutandika kitanda.

Zaidi ya kila kitu cheka na furahi na watoto wako.

Kusikiliza
Mchezo ya mtoto ni shughuli ya mzazis
Update Required To play the media you will need to either update your browser to a recent version, enable javascript or update your Flash plugin.