Mtoto akiwa na miaka michache
Je, kwa nini miaka michache ya kwanza ya maisha ya mtoto yako ni muhimu?
Mchezo ya mtoto ni shughuli ya mzazi
'Ni kwa nini wazima wanasahau utoto yao?
Hata wazima walikua wadogo.'
Ila hitaji muhimu zaidi ya watoto ni mchezo. Katikati ya mchezo ni furaha. Watoto wanajifunza mengi wakicheza
Umuhimu wa uzazi katika kukuza akili ya mtoto
Akili ya binadamu inachukua muda kukua. Mpaka kuzaliwa, kwa kawaida akili inakuwa imeshakuza vitu vingi kama vile kuhema, kudunda kwa roho, kulala na pia uamuzi wa mambo. Sehemu zingine za akili huchukua miaka kukua.
Kuelewa hisia za mtoto kadri anavyokuwa
Kuboresha tabia za mtoto
Kuendeleza hali ya kujitegemea
Jambo muhimu katika uzazi ni kuendeleza watoto kujitengemea.
Elewa mwanako anavyozungumuza
Kumfikisha mtoto mchanga nyumbani yaweza kuleta furaha na hofu kwa mtoto na kwa wazazi pia.