Kubali tofauti

Hakuna watu wawili ambao ni sawa.

Pengine wataonekana tofauti, wata sikika tofauti au mavazi yao ni tofauti. Pengine wako na desturi tofauti, wanafuata mila, imani au dini tofauti. Pengine wako na uwezo tofauti. Pengine wanaishi kwa nyumba au familia tofauti.
Watoto wanatakikana kufundishwa kwamba kukuwa tofauti na wengine ni sawa.
Mara nyingi watoto huuliza maswali juu ya kile wanachoona ni tofauti kati yao na wengine.

"Kwa nini mtu yule amekaa kwa kiti cha vilema (wheelchair)?"
"Kwa nini mtu yule ako na ngozi tofauti na yangu?"
"Kwa nini mtu yule ana vaa nguo ya ajabu?"

Watoto wadogo huweza kukubali tofauti kati yao na wengine bila maswali. Wanaweza kuwa na urafiki na watoto ambao wametokea malezi tofauti au wako na uwezo tofauti au marafiki yao wametokea familia tofauti tofauti.
Vile watoto wanakuwa wakubwa, wanafunza kuthamini utofauti kutoka wazazi wao. Miekeleo yako kulingana na mila au tofauti zingine ita athiri vile watoto wako watatendea wenzao ambao ni tofauti nao.
Wazia juu ya vile unakubali utofauti. Je unaweza kutikiza maoni ya wengine? Je uko stahimilivu na nyumbufu kukubali imani na mila tofauti? Unathamini na heshimu roho ya wengine? Unatoa maoni gani ukiongea juu ya watu ambao ni tofauti kwako?
Kukubali utofauti unamaanisha kuelewa vile tuko sawa na wengine, na vile tuko tofauti, kutendea kila mtu na heshima na ufahamivu hata kama mko tofauti.

Kusitawisha ukubali

Saidia mtoto yako kuelewa kihistoria na kinyume cha familia yenu.
Ongea na mtoto yako juu ya vile watu ya familia yenu wako tofauti na wengine - vile kila mtu ako na maneno yanampendeza na yengine hayampendezi. Ongea juu ya uvutio ya kila mtu na kile wanaweza kufanya vizuri na kwa makini.
Mpee moyo mtoto wako kuongea nawe juu ya maoni, maswali au mashaka.
Saidia mtoto yako kudhani maoni ya wengine na vile wanasikia - wakijiwekelea kwa hali ya mwingine.
Saidia watoto wako kuona kwamba utofauti ni kuthaminiwa na kuhongereshwa. Unaweza kufanya hii na kuwadhahirisha na mila zingine na watu wengine kutoka kuona televisheni, kusoma vitabu juu ya watu na mahali tofauti na pia ukishiriki na jamuiya ya kijirani kwa sherehe ya mila yao.

Kusikiliza
Kubali tofauti
Update Required To play the media you will need to either update your browser to a recent version, enable javascript or update your Flash plugin.