Kuhakikisha usalama ya watoto

Sisi wazazi tunajua majaribio, na saa zingine kufikishwa haddi ya uzazi yetu.

Mara kwa mara tunaweza kusikia kama hatuna usimamizi. Saa zingine, tunaweza kuwa na matatizo ya kibinafsi ambaye yanatufanya tuache kuangalia watoto wetu. Ni ngumu kuongea juu ya maneno haya, lakini maneno au jambo la watoto kutojaliwa sio nadra. Shida hii inaathiri watoto na familia kutoka nyumba yeyote na inaweza kufanyika kwa sababu ya mambo mengi.

Mambo ya watoto kutojaliwa na kutokuwalea yanaweza kuwa na matoke o ya kuteketea kwa watoto na watu wachanga. Mifano ya matokeo ni kama shida kali ya roho, shida ya maingiano na shida ya akili.

Matokeo ya watoto kutaadiwa yanaweza kuleta matatizo kama kutokujiheshimu, mashaka ya kufunza na shida ya adhabu kwa watoto. Watoto wako na haki kukuwa na kukaa salama na kuhifadhiwa. Ukiwa mzazi, ni daraka lako kujua wakati unahitaji usaidizi kabla ya dhulumu kufanyika. Kama unafikiri utaumiza au umeumiza mtoto yako, ni muhimu utafute usaidizi mara moja.

SIMAMISHA kile unachofanya.

FIKIRIA juu ya vile mtoto yako na wewe pia, mmeathiriwa na kile kimechotendeka.

TENDEA vitendo vya kubadilisha hali yenu.

TAFUTA USAIDIZI ili unaoweza kubadilisha hali yako.

Kutafuta msaada ni huduma unaweza hitaji moyo. Lakini kufuata njia hii ya kutafuta msaada ni muhimu sana kwako na kwa mtoto yako.

Kutafuta msaada na huduma huonyesha:

  • Upendo wako kwa mtoto yako
  • Uwezo wako kujulia kunashida
  • Haja yako kwa mabadilisho kwa jamii / familia yako
  • Ahadi wako kwa kutia bidii kwa mabadilisho ili hali kwa jamii yako iimarishwe.
Kusikiliza
Kuhakikisha usalama ya watoto
Update Required To play the media you will need to either update your browser to a recent version, enable javascript or update your Flash plugin.