Kusaidia watoto kukabili na matukio ya kutisha
'Saa zingine watoto hawawezi mwendo kwa kasi ya wazima. Wazima wanatakiwa kuenda pole kidogo ili wote waweze kutembea pamoja.'
Familia siku hizi husisitizwa na maneno mengi. Kwa mfano, masaa mengi ya kazi, wazazi kuachana, kukuwa mgonjwa, kukuwa bila kazi na kuhama nyumba unahusia wazima na pia watoto.
Ingawa mtoto kuzaliwa na kukuja nyumbani ni wakati wa kusherekea kwa familia, inaweza kuwa wakati wa mabadilisho mengi kwa kila mtu, zaidi watoto. Mionjo hii unaathiri uzazi yetu. Kwa wakati hii, jazba yetu unaweza kuwa kali sana na pengine utakosa kuitikia au kuona mahitaji ya mtoto yako.
Nini kina fanyika na mtoto yako?
Pengine mtoto yako anasikia kuogopa, kukabiliwa na kuhagaika wakati wa masisitizo au mabadilisho. Usifikirie mtoto yako anafahamu kile kinachotendeka nyumbani. Wakati kama hii inaweza kua wa kumhangaisha na kumtikiza sana. Watoto waweza kujilaumu kama vitendo 'vibaya' vinafanyika kwa watu ambao wanaopenda.
Watoto huitikia masikitiko au mabadilisho kwa njia nyingi:
- Wanaweza kujifanya kama wako wadogo na umri wao. Hii ni jinsi ya kukuambia kwamba kile kinachofanyika ni kingi na wanakuhitaji.
- Pengine watang'ang'ania, kukukamia au kukaa ovyo ovyo kwa ajili ya kutaka kutunzwa, kuchungwa au kujaliwa na wewe na kupata maarifa kwako.
- Pengine hawalali vizuri, wanapata ndoto wa kuwaogopesha au wanakojoa kitandani wakilala.
- Wanaweza kukuwa waoga au kuhangika kwa urahisi.
- Wanaweza kujaribu kurekebisha matatizo kwa jamii.
- Wanaweza kukosa kukuambia vile wanasikia kwa sababu hawataki kukuhangaisha au kukusisitiza zaidi.
Kitu cha Kufanya
- Kutuliza watoto wako mara kwa mara, ukiwambia unawapenda sana.
- Kuambia watoto wako kwamba kile kinachofanyika sio kwa sababu ya kasoro yao. Labda itakubidi ufanye hivi mara nyingi.
- Kuwatuliza kwamba hata kama wewe mwenyewe unasikia kuhangaika huwezi kuwaumiza. (uko na "control")
- Kuwa adilifu na wambie safi kile kinachofanyika.
- Kama inawezekana, jaribu kuuliza mawazo ya watoto wako wakati wakukata shauri juu ya maneno yale yanawahusu.
- Kuwapatia watoto wako fursa ya kuongea. Kama wanashindwa na kuongea nawe, washajiishe wa zungumze na mtu ambaye wanamamania.
- Kuwajulisha watoto wako kwamba miioyo yao yanaweza kujaa na hisia ya aina nyingi. Watulize kwamba ni sawa na wasaidie kuongea juu ya vile wanasikia.
- Kutoa wakati wa kuelewa vile wanansikia na ujiulize kwa nini wanatendea mambo yao hivo. Vumilia na kuwa stahimilivu nao.
- Kufanya yale wamezoea na ni kawaida kwao.
Hakikisha uko na watu wakukusaidia na pia wakusaidia watoto wako.