Kuwa mzazi
Kuwa mzazi ni kazi muhimu zaidi kuliko yeyote ingine. Pia kazi hii itakaa maisha yote.
Wengine wasema kuwa mzazi ni safari iliojaa na majazi ya ajabu na saa zingine maaliko ambaye yanaonekana hayamkini.
Mambo ya uzazi ukweli au uwongo
Ninatakiwa kujuwa majibu ya maswali yote
Hutakiwi kujuwa mambo yote. Hakuna mzazi ambaye yuko na majibu ya maswali yote. Hakuna jambo kama uzazi wa 'staili moja hueneza vyote'. Wazazi wanatakiwa kuelewa na kukuwa na vipaji vya kuitikia haiba ya pekee, mabavu na makabilio ya kila mtoto. Kuwa na matarajio elekevu. Kuwa na imani kwa mambo unajua. Ni sawa kusema hujui. Jaribu kujifunza mambo husikii unayajua vizuri.
Uzazi unapokewa bila mafunzo
Uzazi huhitaji maangano, kikazo, uwazo, nguvu, akili na saburi. Kila mzazi huhitaji usaidizi. Kile unachofanya vizuri ni cha kujipongeza . Kubali pengine kuna mengi unaweza kufanya tofauti. Lakini usikuwe na ugumu kwako. Kila mzazi hufanya makosa na hujifundisha na maarifa. Makosa huangaliwa tu kama unayarudia tena na tena. Jua kwamba uzazi una shida na pia ushindi na kubali hii ni kawaida.
Kulea watoto wangu ni kazi yangu
Kwa kihistoria, jamii kubwa (kina nyanya, babu, shangazi kadhalika) na majirani walishughulika na kulea watoto. Siku hizi, wazazi pekee wanaonewa kuchukua dhamana ya kulea watoto wao. Wazazi wanaweza kusikia kama wako peke yao na wanaangaliwa na wote. Lakini utaona kwamba wazazi wengi wengine husikia vivo hivo! Kuuliza msaada ni muhimu kwako na kwa mtoto yako. Kama unataka usaidizi, ongea na jamii yako, marafiki au shirika zinazohusika na kusaidia jamii. Uzazi ni kazi ya jamuiya yote - watu wengi hutia mengi kwa maisha ya watoto. Nyanya, babu, wajomba, washangazi, warafiki, walimu na wajirani wote wanahariji kusaidia maisha kwa jamii. Chunga watoto wako na jichunge pia.
Watoto na wazazi wanafunza pamoja.
Hakuna kitu kama mzazi kamili.
Hakuna kitu kama mtoto kamili.
Uzazi unaweza kufuata njia mengi.
Watoto wanaweza kufunzwa na wazazi na pia wazazi wanaweza kufunzwa na watoto wao.
Watoto wa umri zote wanakuangalia saa zozote, wanasikia na wanafunzwa na vile wazazi wao wana fanya. Wanaangalia vile unatendea matendo, vile unaongea juu ya vile unasikia na vile unahusika na wengine.
Vile mtoto hukuwa na hubadilika, mzazi yake humelewa zaidi.
Uzazi yako unatakikana kubadilika vile mahitaji ya watoto wako hubadilika.